0:00 / ???
  1. Mawazo

From the recording Gizani

In cart Not available Out of stock

Mawazo is Swahili for thoughts. Its the new Samcicero single that talks about thought process, broken relationships,economic hardships and blackmail.

Lyrics

Mawazo

Mawazo, wazo wazo wazo wazo
Mawazo, wazo wazo wazo wazo
Mawazo, wazo wazo wazo wazo
Haya yote yatakwisha,
Mawazo, wazo wazo wazo wazo
Mungu tayapanguza yote
Mawazo wazo wazo wazo wazo
Majanga yote Yatakwisha


Nimekuwa na mawazo, Kuwaza kuwazua
Nimekuwa na majonzi, Yatiririka mno,
Nimekuwa na upweke usiku kucha kucha
Nimekuwa silali, usingizi hakuna

Nimekuwa na mikosi imenifuata nyuma
Majirani wanicheka, marafiki hakuna
Nimekuwa hukumuni, Kifungo cha maisha
Nimesha pigwa mnanda mali yangu imekwisha

nimekuwa sina kazi, viatu vimekwisha
Kahitimu na shahada, na ya elimu ya juu
Ndoa yangu hainani,Pingu zishalegea
Nami Sikuelewa, Parafujo za mwili